Miss Hadija Hassan, mentor and social entrepreneur

In the center of transformational changes, women and girls empowerment in leadership is most important and worthy taking and of everyone, we need to Leave No One Behind.

Friday, 5 June 2015

PEPONI DUNIANI (19/10/10)

Wametuvisha miwani,Miwani ya juani,Kutupeleka peponi,Peponi duniani.Mbona sasa hatuoni?Hatuoni yalo mbeleni,Giza limo machoni,Macho yamo gizani.Miwani ya jua gizani?!Gizani tusiwabaini,Wamebeba vitu pomoni,Pomoni bila sisi baini.Tumepumbazwa akili,Akili zikakubali,Tukavikwa na bangili,Bangili lisilo fahali.Sasa nchi I mashakani,Mashakani kwa madeni,Na...